Nani Mwenyezi Mungu?
Harun Yahya51 kurasa.
Tangu zama za zama, watu wamekuwa wakiutafakari Ulimwengu na chanzo cha uhai na wametowa mawazo yao mbali mbali juu ya suala hili. Tunaweza kuyagawa mawazo hayo katika makundi mawili. Mosi, yale yanayofafanuwa Ulimwengu kwa mtazamo wa kukanusha uumbaji na pili yale yanayoona kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Aliyeumba maada na Ulimwengu kutokana na Ombwe Tupu na kuupangiya utaratibu. Viumbe vyote hai na visivyo hai, vinavyoonekana na visivyoonekana, vilitokana na kazi ya Mwenyezi Mungu. Wanadamu, Majini, Wanyama, Mimeya, Magimba (Magalaksi), Nyota, Sayari, miyezi na vimondo vyote vimeumbwa na Mwenyezi Mungu. Usanii bora, mahesabu, urari na mpangiliyo unaoonekana katika Ulimwengu na kwa viumbe hai ni vielezeo vya Imani hii.
Yaliyomo kwenye Kitabu
Majina na Sura za Kitabu