Kufa Ufufuko Jahannam
Harun Yahya90 kurasa.
Miongoni mwa sababu kubwa zinazowafanya watu wakengeuke na kufanya washughulike tu na matashi yao ni kule kutotaka kwao kufa. Ulimwengu na wanadamu wote waishio humo, hawataishi milele. Kinachowasubiri wale wakanao ulimwengu ujao ni hatari kubwa. Hasira za moto wa milele wa Jahanamu zitakuwa dhidi yao. Kitabu hiki kikiegemea aya za Qur’an kinatoa picha ya maelezo ya muda wa kufa, siku ya hukumu na adhabu za motoni, na kinatoa hadhari juu ya hatari kubwa inayotukabili.
Yaliyomo kwenye Kitabu
Majina na Sura za Kitabu