Dalili Za Kiyama
Harun Yahya40 kurasa.
Katika kipindi chote cha historia ya ulimwengu, Wanaadamu wameuelewa ukubwa wa milima na upana wake, na ukubwa wa mbingu kutokana na njia zao mbali mbali za uchunguzi ijapokuwa wamekuwa na fikra potofu kuwa maumbile haya yatadumu milele. Imani hii ndio iliyozaa falsafa za kishirikina na za kilahidi za Ugiriki na dini za Sumeria za Misri ya kale.
Yaliyomo kwenye Kitabu
Majina na Sura za Kitabu