logo
HARUN YAHYA
  • 1. Arrah`man, Mwingi wa Rehema
  • 2. Amefundisha Qur`ani.
  • 3. Amemuumba mwanaadamu,
  • 4. Akamfundisha kubaini.
  • 5. Jua na mwezi huenda kwa hisabu.
  • 6. Na mimea yenye kutambaa, na miti, inanyenyekea.
  • 7. Na mbingu ameziinua, na ameweka mizani,
  • 8. Ili msidhulumu katika mizani.
  • 9. Na wekeni mizani kwa haki, wala msipunje katika mizani.
  • 10. Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe.
  • 11. Humo yamo matunda na mitende yenye mafumba.
  • 12. Na nafaka zenye makapi, na rehani.
  • 13. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha
  • 14. Amemuumba mtu kwa udongo wa kinamo..
  • 15. Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto.
  • 16. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha
  • 17. Mola Mlezi wa mashariki mbili na wa magharibi mbili.
  • 18. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 19. Anaziendesha bahari mbili zikutane;
  • 20. Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane.
  • 21. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 22. Katika hizo bahari mbili zinatoka lulu na marijani.
  • 23. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 24. Na ni vyake Yeye hivi viendavyo baharini vilivyo undwa kama vilima.
  • 25. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 26. Kila kilioko juu yake kitatoweka.
  • 27. Na atabakia Mwenyewe Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu.
  • 28. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 29. Vinamwomba Yeye vilivyomo katika mbingu na ardhi. Kila siku Yeye yumo katika mambo.
  • 30. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 31. Tutakuhisabuni enyi makundi mawili.
  • 32. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 33. Enyi makundi ya majini na watu! Mkiweza kupenya kwenye mbingu na ardhi, basi penyeni! Hamtapenya ila kwa kupewa madaraka.
  • 34. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 35. Mtapelekewa muwako wa moto na shaba; wala hamtashinda.
  • 36. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 37. Itakapo pasuka mbingu ikawa nyekundu kama mafuta.
  • 38. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 39. Siku hiyo hataulizwa dhambi zake mtu wala jini.
  • 40. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 41. Watajuulikana wakosefu kwa alama zao, basi watashikwa kwa nywele zao za utosini na kwa miguu.
  • 42. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 43. Hii ndiyo Jahannamu ambayo wakosefu wakiikanusha.
  • 44. Watakuwa wakizunguka baina ya hiyo na maji ya moto yanayo chemka.
  • 45. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 46. Na mwenye kuogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi atapata Bustani mbili.
  • 47. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 48. Bustani zenye matawi yaliyo tanda.
  • 49. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 50. Ndani yake zimo chemchem mbili zinazo pita.
  • 51. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 52. Humo katika kila matunda zimo namna mbili.
  • 53. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 54. Wawe wameegemea matandiko yenye bit`ana ya hariri nzito; na matunda ya Bustani hizo yapo karibu.
  • 55. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 56. Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.
  • 57. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 58. Kama kwamba wao ni yakuti na marijani.
  • 59. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha.
  • 60. Ati yaweza kuwa malipo ya ihsani ila ihsani?
  • 61. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 62. Na zaidi ya hizo zipo Bustani nyengine mbili.
  • 63. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 64. Za kijani kibivu.
  • 65. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 66. Na chemchem mbili zinazo furika.
  • 67. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 68. Imo humo miti ya matunda, na mitende na mikomamanga.
  • 69. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 70. Humo wamo wanawake wema wazuri.
  • 71. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 72. Wanawake wazuri wanao tawishwa katika makhema.
  • 73. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 74. Hajawagusa mtu wala jini kabla yao.
  • 75. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 76. Wameegemea juu ya matakia ya kijani na mazulia mazuri.
  • 77. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
  • 78. Limetukuka jina la Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu.
SHIRIKI
logo
logo
logo
logo
logo
  • 1.Al-Fatihah
  • 2.Al Baqara
  • 3.Ali `Imran
  • 4.An-Nisa
  • 5.Al-Ma`idah
  • 6.Al-An`am
  • 7.Al-A`raf
  • 8.Al-Anfal
  • 9.At-Tawbah
  • 10.Yunus
  • 11.Hud
  • 12.Yusuf
  • 13.Ar-Ra`d
  • 14.Ibrahim
  • 15.Al-Hijr
  • 16.An-Nahl
  • 17.Al-Isra
  • 18.Al-Kahf
  • 19.Maryam
  • 20.Taha
  • 21.Al-Anbya
  • 22.Al-Haj
  • 23.Al-Mu`minun
  • 24.An-Nur
  • 25.Al-Furqan
  • 26.Ash-Shu`ara
  • 27.An-Naml
  • 28.Al-Qasas
  • 29.Al-`Ankabut
  • 30.Ar-Rum
  • 31.Luqman
  • 32.As-Sajdah
  • 33.Al-Ahzab
  • 34.Saba
  • 35.Faatir
  • 36.Ya-Sin
  • 37.As-Saffat
  • 38.Sad
  • 39.Az-Zumar
  • 40.Ghafir
  • 41.Fussilat
  • 42.sh-Shuraa
  • 43.Az-Zukhruf
  • 44.Ad-Dukhan
  • 45.Al-Jathiyah
  • 46.Al-Ahqaf
  • 47.Muhammad
  • 48.Al-Fath
  • 49.Al-Hujurat
  • 50.Qaf
  • 51.Adh-Dhariyat
  • 52.At-Tur
  • 53.An-Najm
  • 54.Al-Qamar
  • 55.Ar-Rahman
  • 56.Al-Waqi`ah
  • 57.Al-Hadid
  • 58.Al-Mujadila
  • 59.Al-Hashr
  • 60.Al-Mumtahanah
  • 61.As-Saf
  • 62.Al-Jumu`ah
  • 63.Al-Munafiqun
  • 64.At-Taghabun
  • 65.At-Talaq
  • 66.At-Tahrim
  • 67.Al-Mulk
  • 68.Al-Qalam
  • 69.Al-Haqqah
  • 70.Al-Ma`arij
  • 71.Nuh
  • 72.Al-Jinn
  • 73.Al-Muzzammil
  • 74.Al-Muddaththir
  • 75.Al-Qiyamah
  • 76.Al-Insan
  • 77.Al-Mursalat
  • 78.An-Naba
  • 79.An-Nazi`at
  • 80.Abasa
  • 81.At-Takwir
  • 82.Al-Infitar
  • 83.Al-Mutaffifin
  • 84.Al-Inshiqaq
  • 85.Al-Buruj
  • 86.At-Tariq
  • 87.Al-A`la
  • 88.Al-Ghashiyah
  • 89.Al-Fajr
  • 90.Al-Balad
  • 91.Ash-Shams
  • 92.Al-Layl
  • 93.Ad-Duhaa
  • 94.Ash-Sharh
  • 95.At-Tin
  • 96.Al-`Alaq
  • 97.Al-Qadr
  • 98.Al-Bayyinah
  • 99.Az-Zalzalah
  • 100.Al-`Adiyat
  • 101.Al-Qari`ah
  • 102.At-Takathur
  • 103.Al-`Asr
  • 104.Al-Humazah
  • 105.Al-Fil
  • 106.Quraysh
  • 107.Al-Ma`un
  • 108.Al-Kawthar
  • 109.Al-Kafirun
  • 110.An-Nasr
  • 111.Al-Masad
  • 112.Al-Ikhlas
  • 113.Al-Falaq
  • 114.An-Nas