1. Hakika tumekupa kheri nyingi.
2. Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
3. Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.